Naomba kufahamu lishe ya mtoto

cacico mie nina mtoto ananiliza kwenye swala zima la kula Nikajua shuleni atakuwa anakula maana watoto ni wengi na pia kila mwezi huwa wanawekewa maksi kwa kila mtoto anayekula vizuri na anapewa zawadi shuleni shule ya day
wangu kila report ikija ana D kwenye kula.
Nyumbani tuna kimbizana kama Tom and Jerry ..she is 5 years old .
 
Last edited by a moderator:

pole my dear! na ukipata dada ambaye ahan mapenzi kwa watoto, watabaki kama fidodido, wangu huwa twakabana na kubuni michezo kila kukicha, wapo likizo, leo nimewaacha wanakanda unga wa maandazi na dada, huku uji unakwenda, so mikono yote mpaka pua kwenye ngano wamechafukaaaaaaaa, sema chakula kinashuka! ndio malezi mpenzi, MUNGU WETU MWEMA ATUKUZIE MWAYA!
 
Hakikisha wanapata milo 5 kwa siku, mitatu mikubwa (breakfast, lunch, dinner) na snacks mara 2 in-between.
Unajua watoto wanatofautiana, so wanachokula wanangu, wakwako wanaweza wasipende. Cha muhimu hakikisha milo yote mikubwa wanapata protein, wanga, mbogamboga n.k . Snack unaweza wapa matunda, maziwa, na vitafunwa vidogvidogo like maandazi, biscuti, karanga etc.(wasile sana snacks then watashindwa kula lunch/dinner).
Pia wachanganyie vyakula, uswape same thing everyday. Mfano asubuhi, leo ukiwapa uji wa ulezi na maziwa, kesho yake mkate, mayai na maziwa etc, maana watoto nao wanakinai kama watu wazima. Ni maoni yangu tuu.

Umesema vyema. mkuu.
 
pole my dear! na ukipata dada ambaye ahan mapenzi kwa watoto, watabaki kama fidodido, wangu huwa twakabana na kubuni michezo kila kukicha, wapo likizo, leo nimewaacha wanakanda unga wa maandazi na dada, huku uji unakwenda, so mikono yote mpaka pua kwenye ngano wamechafukaaaaaaaa, sema chakula kinashuka! ndio malezi mpenzi, MUNGU WETU MWEMA ATUKUZIE MWAYA!

Duh hadi raha itabidi nilete na wa kwangu hapo labda ataanza kula ....
 
du!!hao watoto wa cacico kama wako jela!!!uji lazima siyo ombi!!kusali lazima siyo ombi!!!!mmmmh haya bwana nimekubali!!!
 
Wakwangu ugali mbegu kwa kwenda mbele anzia asubuh hadi usiku, matunda hadi jirani awagawie(kama maisha magumu mi nimfanyaje?) teh teh teh..

Akiona wajinywea ka value au kakiroba kako naye anaomba na kulia kweli
 
asubuhi nawapa twins uji wa lishe ya kutengeneza mwenyewe, huo ni lazima kwao SI OMBI! yaani nahakikisha dada anawanywesha kabla ya kwenda shule, huo uji unakuwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali isipokuwa dagaa, wana allergy na samaki na mayai! kwasababu wamegoma kula wheetabix yenyewe, naimix kwenye uji wakati unachemka, inayeyukia huko! naweka na asali badala y asukari na butter or blueband kidogo! kama tukisaga unga bila karanga, naweka pia peanut butter!

saa nne mpaka saa 7 ni maziwa ya ng'ombe! wanamaliza lita kwa mchana mmoja, na lita usiku. saa 7 mchana ni ugali lazmaaaaaa wale, kama leo na maharage, kesho mchuzi, keshokutwa bamia za nazi, inayofuata kabichi nk, wanalala mpaka 10 au 11, wakiamka ni fruits, kama leo papai, kesho ndizi, keshokutwa machungwa, nimemwambia dada hata kama hakuna tunda siku hiyo wapewe carotts, saa 12 wanatolewa nje for a walk mpaka saa 11 au 12, wakirudi wanakula NDIZI ZA KUPIKA NAZIMIX NA NYAMA YA KUKU WA KIENYEJI AU SAMAKI MARA MOJAMOJA SANA MAANA WANA ALLERGY, KAMA LEO NIKIBLEND, KESHO NASONGA KWA MKONO ILI WAZOEE OL WEATHER, then kuoga! baada ya hapo ni kuruka kwenye viti, kuvuruga vitanda vya watu nk.

by the time ni saa mbili usiku, wana njaa tena wanakula tena food rice, lakini maziwa tunakuwa tumeshapak kwenye chupa zao tayari kwa kulala, in between wanaweza KUnywa soda, biscuits, chama etc!

kabla ya kulala wanapata chakula cha kiroho, sala ni muhimu! HIVYO TUWAKUMBUSHE WATOTO KUSALI KABLA YA KULALA, SI OMBI NI LAZIMA!

DUh, utaua....
 
mtoto wa miaka 3-7 anatakiwa ale chakula ambacho familia wanakula, kwa umri wa miaka 5 na kushuka apate menu mara 6 kwa siku.
 
mtoto wa miaka 3-7 anatakiwa ale chakula ambacho familia wanakula, kwa umri wa miaka 5 na kushuka apate menu mara 6 kwa siku.

Mara Sita! well inategemea anakula nini. Siamini kumshindilia mtoto chakula kunamfanya awe na afya njema, sasa sana anakula obese ambayo ni afya mbaya.
 
hahahhahhaah! nakumbuka tena nikakwambia uwe makini wasipate UTI manake muda wanaokaa kwenye maji ni mrefu na mule wanaweza kukojoa wewe usijue.

rafiki umenikumbusha wifi yangu ambaye akitka kumlisha mwanae anadeki numba vzr kwasabauni na maji ya moto kisha anamwaga chakula chini ndo mtoto ale hapendi kulishwa kwenye sahani yaani kama kalogwa vile.
Oh My! mine 3.5yrs now, used to mimic our pet cat eating sideways no matter how hard we try to discourage her,we were horrified one day finding our little nasra feeding in the same bowl with our cat!
 
Oh My! mine 3.5yrs now, used to mimic our pet cat eating sideways no matter how hard we try to discourage her,we were horrified one day finding our little nasra feeding in the same bowl with our cat!

hope nasra was not affected by anything despite feeding the same bowl with cat. Only God knows why she wasn't. child rearing is a bit difficult.
 
hope nasra was not affected by anything despite feeding the same bowl with cat. Only God knows why she wasn't. child rearing is a bit difficult.
For months we were on high alert,come flu we hit the switch!bit tired alittle bit we hit the switch,believe me we were kind of circus to our private and local doctors! All thanks to Almighty every thing turn out fine!
 
you know what that was just, woga na hofu ila hakukuwa na uhusiano wa moja kwa moja.
 
you know what that was just, woga na hofu ila hakukuwa na uhusiano wa moja kwa moja.
Yeah ,that made us complete fools but we thought worth it to be worrisome than sitting down and pretend there is no possiblity of any infections putting in mind our cat is known to prowl the street like stray cats.
 
of course ungeaa kimya hata mm ningekushangaa sana.
 
Back
Top Bottom