Msaada Link ya porn ya Rihana inatesa watu Facebook

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wadau mwenye kujua dawa ya hili tatizo liwadhalilisha watu kwa kutuma picha chafu kwa marafiki kwa mtindo wa kutag!solution wakuu
 
kama unataka mtu asiku tag na picha usizotaka nenda kwenye setting weka hiyo restriction mtu akiku tag haikubali mpaka u aprrove.

Heading haiendani na body kwa nini....if possible badilisha
sio vema kuomba link hapa kuna underage you never know
 
Hapo ni kwamba kuna link ya Rihana inakuja kwenye wall ss ukiigusa tu umeharibu inaanza kutag rafiki zako picha mbaya nimeona kwa rafiki yangu ni hatari sana!
 
ile pale kama umestrict haifanyi kazi but link ni nzuri aisee!.
 
Ni very simple kutoa hii. Ni kwamba unapoclick ile link na Antivirus yako haina uwezo wakuiblock an extension inakuwa planted kwenye browser yako wengi waathirika wa hii wanaotumia mozilla firefox ok hivi ndivyo unaitoa iyo bug.

Go to Tools - > Addons ->
Extensions – find
and remove the add-on ambayo imekuwa labed kitu flani Youtube au Youtube kitu flan mfano:
“YouTube Premium”, "dvtez Youtube", n.k just click unistall delete au remove inategemea na browser version yako then restart Mozilla, sasa delete the posts chafu zote and ur gud to go hautaona uchafu huo tena BUT zingatia hili get a more secure antivirus na hakikisha unaiupdate atleast twice a month hapo hautakumbwa na tatizo kama hili tena.
now
 
Kaka asante sana mkuu nikitoka church ntafata maelekezo yako!
 
Tatizo uroho wa kuangalia ngono ndo unawaponza. Usipo-click mavitu ya ajabu hayaji kwenye wall yako!
 
Mshkaji kafungua asubuhi imeleta picha za ajabu balaa mara watu wana meno kwenye nywele na vidonda vya ajabu ajabu inatisha me binafsi nimefuta facebook account yangu nimehamia JF mazima!sitaki fedheha!
 
Msilaumu waru au kusema kuwa ni uroho wa kuangalia porn hawa jamaa sio topic za porn wanaziweka mwaka jana walikuwa wanaweka news kuhusu celebrities kama kuna wakati eti Lady gaga found dead na wameweka link ionekana kama inaenda BBC so hawa jamaa wapo tricky kweli kusema kuwa uwe makini usiclick izo links itakuwa vigumu coz wanajia nyingi za kushawishi the only better solution ni kuwa na better Antivirus au Internet Security ata kama ukipatikana hautapatwa na madhara yoyote.
 
Niliuliza swali hili juzi,kama kuna maelezo ya ziada soma link hii:
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...cebook-nin-nin-http-red10000-blogspot-ca.html
 
Hizo link za porn za FB ni spam! Kwaiyo wewe bofya bofya tu izo link usisashangae akaunti yako nayo ikawa inapost link za porn bila ya ww mwenyeo kufanya hivo
 
imentokea hiyo juzi eti.. Nime tag
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom