Hapo ni kwamba kuna link ya Rihana inakuja kwenye wall ss ukiigusa tu umeharibu inaanza kutag rafiki zako picha mbaya nimeona kwa rafiki yangu ni hatari sana!
Ni very simple kutoa hii. Ni kwamba unapoclick ile link na Antivirus yako haina uwezo wakuiblock an extension inakuwa planted kwenye browser yako wengi waathirika wa hii wanaotumia mozilla firefox ok hivi ndivyo unaitoa iyo bug.
Go to Tools - > Addons ->
Extensions find
and remove the add-on ambayo imekuwa labed kitu flani Youtube au Youtube kitu flan mfano:
YouTube Premium, "dvtez Youtube", n.k just click unistall delete au remove inategemea na browser version yako then restart Mozilla, sasa delete the posts chafu zote and ur gud to go hautaona uchafu huo tena BUT zingatia hili get a more secure antivirus na hakikisha unaiupdate atleast twice a month hapo hautakumbwa na tatizo kama hili tena.
now
Niliuliza swali hili juzi,kama kuna maelezo ya ziada soma link hii:Msilaumu waru au kusema kuwa ni uroho wa kuangalia porn hawa jamaa sio topic za porn wanaziweka mwaka jana walikuwa wanaweka news kuhusu celebrities kama kuna wakati eti Lady gaga found dead na wameweka link ionekana kama inaenda BBC so hawa jamaa wapo tricky kweli kusema kuwa uwe makini usiclick izo links itakuwa vigumu coz wanajia nyingi za kushawishi the only better solution ni kuwa na better Antivirus au Internet Security ata kama ukipatikana hautapatwa na madhara yoyote.
Nipeni title mi ndo kwanza naitafuta
ile pale kama umestrict haifanyi kazi but link ni nzuri aisee!.
Tatizo uroho wa kuangalia ngono ndo unawaponza. Usipo-click mavitu ya ajabu hayaji kwenye wall yako!
Hizo link za porn za FB ni spam! Kwaiyo wewe bofya bofya tu izo link usisashangae akaunti yako nayo ikawa inapost link za porn bila ya ww mwenyeo kufanya hivo