Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

Una matatizo wewe...uwakala mkuu Vodacom wiki 3...,hahaaaa
Ukiwa na NIDA ID,LESENI NA TIN NUMBER nitafute nikisaidie kuzipata

Tigo itachukua siku 3 kukamilika
Airtel siku 3 pia
Vodacom wao itachukua wiki 3
Halopesa masaa 3 tu

Nipigie 0744999991 au 0656646464twatma
 
Apo mwanangu uwakala mkuu ili ukubaliwe lazima. Uweke mzigo mezani....Kwanza upo mkoa gani....mi nna uwezo wa kukupa connection ya laini moja Kati ya mitandao uliyoisema(sijautaja kwa sababu).....na pia uwe na pesa
 
Wakala mkuu tigo kwa dar sasa hawatoi kaombee mkoani uwe nahelaya mtaji 200m kitu kama hicho, ya mpesa 6m nina connection, airtel 1m uwe na ofisi conection ninayo halotel bure ila hawatoi kwa sasa kuna namna inafanywa unapatiwa
Ok
 
Pesa ya mtaji ninayo
 
Uwaka mkuu wanakupa wenyewe kulingana na mzunguko wako wa biashara na mtaji wako, ila kabla hawajakupa nilazima wakutembelee kukuuliza kama utakubali nahisi ukiwa na mtaji kuanzia milioni 10 wanakupatia
 
Wakala mkuu tigo kwa dar sasa hawatoi kaombee mkoani uwe nahelaya mtaji 200m kitu kama hicho, ya mpesa 6m nina connection, airtel 1m uwe na ofisi conection ninayo halotel bure ila hawatoi kwa sasa kuna namna inafanywa unapatiwa
Nahitaji uwakala Mkuu line 0742292940
 
Wakala mkuu tigo kwa dar sasa hawatoi kaombee mkoani uwe nahelaya mtaji 200m kitu kama hicho, ya mpesa 6m nina connection, airtel 1m uwe na ofisi conection ninayo halotel bure ila hawatoi kwa sasa kuna namna inafanywa unapatiwa

Njoo Pm
 
Back
Top Bottom