Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,656
Habari zenu wakuu,
Nawatakia mafanikio, amani na afya njema katika Mwaka Mpya unaokuja wa 2014.
Mwaka 2012 tuliregister Limited Company by Guarantee without Share Capital. Tukaenda TRA tukapewa TIN ya kampuni na za kwetu. Tulienda pia manispaa husika (ipo Dar) Tukapewa business licence. Kuna kodi ambayo tulikadria TRA kwamba tungekuwa tunalipa.
Hadi sasa hatujaweza kufanya biashara yoyote inayoingiza hata shillingi moja. Lakini kuna services ambazo tumeweza kuzitoa kwenye community freely. Hela iliyotumika kutoa services hizo ni yetu binafsi. Namna ambazo kampuni za namna hii zinaweza kuoperate ni for profit or not for profit, reference: http://www.socialenterprise.ie/gfx/...imited by Guarantee without Share Capital.pdf.
Kampuni yetu is not for profit. Tulikadria kodi kwa sababu tulidhani tungefanya business inayotuingizia faida, lakini badala yake tumechukua uelekeo wa kuwa non profit kwa sasa.
Sasa hatujalipa kodi yoyote TRA kwa sababu hakuna biashara yoyote tunayofanya inayoingiza faida. Kwa upande mwingine tumefanya kosa kutokuwaandikia TRA kuomba tax exemption tangu awali, mpaka pale tutakapobadilisha uelekeo wa business.
Naomba msaada wenu namna ya kuwashawishi TRA watusamehe kodi ambayo tulitakiwa kulipa kwa muda uliopita, pia kuomba exemption kwa kutokulipa kodi hadi hapo tutakapobadilisha nature ya biashara.
Je, leseni za biashara zinakuwa valid kwa kipindi gani? Maana leseni tuliyopewa na manispaa haionyeshi expiry date!
Kila la heri kuelekea 2014.
LifeHacker