Msaada laptop yangu yenye vista iko very slow

Thanks for the advice De javu.

Nilidhani ni kitu ambacho ningeweza kusolve kwa urahisi lakini naona nahitaji mtaalamu anirekebishie.
 
Thanks, hii nimefanikiwa na hii ya recovery jee?

Sasa hivi laptop yangu inaonyesha kitu kama hivi:

Warning
2239 outstanding PC Errors
Rescan
Repair now
These errors were found in an automated scan of your PC

Halafu wanataka ninunue hiyo program ya recovery kwa kutumia credit card. Ila hapo nimeona hii recuva sijui itaweza kurekebisha hiyo error?

Najaribu kuidownload naona haikubali.

Compyuta yako ki- hardware iko fiti. tatizo umepata virus, ndo hiyo inakwambia ununue ndo isolve matatizo, majamaa wajanja siku hizi, wanajifanya wanasolve kumbe ndo ushaliwa.

Download MalwareBytes, Malwarebytes Anti-Malware - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com ukishainstall restart windows kwenye Recovery Mode (Bonyeza F8 wakati PC inastart, kuna menu itatokea). Then irun hiyo program. Ikishindwa hiyo jaribu na Ad-Aware Free Internet Security - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
 
Computer yako kua slow imesababishwa na back ground programs ambazo zina run bila wewe kujua. Hii inatokea unapo download/install programs. Kutokana na specifications za computer yako ipo reasonable fast, sio sababu ya Vista wala upgrade yoyote. Tafuta mtu mwenye average knowledge ya computer/au fundi aweze kuondoa hizo start-up program zisizo na ulazima. Achana na web scanners zinazokuambia unahitaji kunua software, hizo ni biashara tu; waweza tumbukia kwenye virus pia. Nilikuambia tumia pia CCleaner iwapo unajua kuitumia itakusaidia. Tahadhari kama knowledge yako ya computer ni ndogo basi nakushauri tafuta mtu/fundi anaejua nini anafanya. Usitegemee kila kitu cha kuambiwa kitasaidia, ushauri mwengine utakuangamiza zaidi.

Mbali na CCLEANER, unaweza kutumia REVO UNINSTALLER SOFTWARE, nayo inafanya kazi kama CCLEANER. Inapatikana hapa bure Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download - Uninstall software, remove programs, solve uninstall problems.
Ukisha-install fanya ifuatavyo:
1. Bofya mara mbili alama ya revo uninstaller iliyo ktk desktop
2. Katika menyu bar, bofya kitufe cha TOOLS
3. Bofya kitufe cha AUTORUN MANAGER, uncheck startup programs zote isipokwa antivirus.
4. Bofya kitufe cha JUNK FILES CLEANER, kisha bofya kitufe cha SCAN ktk menyu bar ya revo uninstaller, subiri, kisha bonyeza DELETE kuondoa uchafu katika kompyuta yako
5. Bonyeza sehemu iliyoandikwa TRACKS CLEANER, kisha bonyeza WINDOWS CLEANER, weka alama ya tiki/vema katika vibox vilivyopo upande wa kulia (TRACES IN THE WINDOWS REGISTRY NA TRACES ON LOCAL HARD DISK DRIVE) isipokuwa ktk empty recycle bin
6. Bofya EXECUTE ktk menyu bar kisha bofya OK, OK, OK
7. Funga program kisha ifungue tena.

Natumai pc yako itaongezeka speed.

ONYO: kama huwezi kufanya mwenyewe tafuta mtaalamu akusaidie



 
Thanks nitatafuta fundi maana mimi ni enzi zile za watumia computer tu na sio dot com.
 
Mi nakushauri ubadilishe window, kwa sababu Vista inasumbua sana.
Weka window 7
 
1. Download any of these - Advanced System care free au CCleaner
2. Download Anvir Task manager free version
3. Clean your computer using CCleaner/ASC (Files, registry, cookies et al)
4. Clean startup programs and block stubborn ones using ATM
5. Download Avira Antivir personal and remove Any other antivirus and perform full system scan
Post the feedback here
 
Nadhani tuache kumpotosha huyu mtu. Computer inaweza kuwa slow kutokana na sababu kama kumi hivi. Mojawapo kubwa inawezekana hard disk inaelekea kufa na hii haijalishi computer ni mpya au la (kila kitu cha umeme kinaweza kufa muda wowote). Pia inawezekana memory zina tatizo. Pia virus wanaweza ifanya computer iwe slow sana.
Kama ulivyosema ni sawa kuwa huitumii sana nadhani inawezekana kabisa ni issue ya hard disk au virus. nakushauri muone mtaalamu akuchekie , inawezekana hata ukidownload na kuinstall hizo program hazitakusaidia kabisa.
 
jamani No matter how fast or shiny computers might be when they are new, they all seem to get slower over time. That state-of-the-art PC you bought last year might not feel like such a screamer after you install a dozen programs, load it with antispyware and antivirus tools, and download untold amounts of junk from the Internet. The slowdown might happen so gradually you hardly notice it, until one day you’re trying to open a program or file and wonder, "kudadadeki What happened to my poor PC?"hapo ndo mtaanza kuzilalamikia sijui ohhh this ni vista sijui iko kawaida kuwa slow...NO bana

Whatever the cause, there are a lot of ways to help speed up Windows and make your PC work better—even without upgrading your hardware. let me nikuambie jinsi gani waweza kuoptimize Windows Vista for faster performance
1.Delete programs you never use
2.Limit how many programs load at startup(hata iyo narton inamchezo wa kuwaka na machine hapa naweza nikawa nakutatiza maana inabidi ujue what programs load automatically at startup? Sometimes this is obvious, because the program will add an icon to the notification area on the taskbar, where you can see it running. Look there and see if there are any programs running that you don’t want to load automatically. Position your mouse over each icon to see the program name. Be sure to click the Show hidden icons button so you don’t miss any icons.
7704e102-acb8-40b0-b28e-0bbcba515daf.png


Even after you check the notification area, you might still have missed some programs that load automatically at startup. You can find and disable them using Windows Defender.


kwa leo nadhani hayo ni muhimu just check it out ikishindikana ndo umtafute mtaalamu zaidi....Kuthenkyu..









moz-screenshot.png
 
Nakushauri kitu kimoja sio kila mtu ni mtaalamu wakubadili OS (Operating sysytem, others wamezoea kuita window) wengine wana install hawajui namna ya ku conserve Data wanachojua ni kuformat tu kwakuwa computer imeuliza, Pia jaribu kuzingatia mambo ya Drivers, Ingawaje Hilo sio Tatizo kwa HP. Kupata drivers zote computer yako haitakusumbua kwenye suala la performace.
Kwamfano Gamming. Wireless internet, Web cam Sound na hata display.
 
Back
Top Bottom