Msaada: Laptop yangu inasumbua

bobby_Barbosa_9

JF-Expert Member
Jul 29, 2019
621
1,250
Cooling fan haifanyi kazi kwa usahii, inatoa sauti ambayo imekuwa kero, tatizo hili limeanza juzi.

Nimejaribu kufanya mawasiliano na fundi ninayemuamini ila yuko busy.

So nimeona nije kwenu kwanza na kama kuna fundi yuko Dodoma mjini basi tutafutane leo.
 
Kama una ujuzi kidogo ifungue linaweza kuwa vumbi ama hata wadudu wameingia humo wamenata kwenye feni.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom