MSAADA: LAPTOP YANGU IMEZIMA GAFLA

Pweza Boy

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
1,385
3,140
Naomba ushauri nifanyeje, laptop yangu(Dell) nikiwa nimeishika naitumia ikakurupuka mkononi na waya wa power ukachomoka ikazima. Wakati naiwasha inaleta option ya ku repair window maana ukiwasha "start window normally" inaishia hapo inaload tu haifungui ndani. Haijadondoka kusema nilikua juu mpaka chini hapana maana ilikua juu ya miguu tu wakati nikiwa nimekaa sakafuni. Nifanyeje?? Maana hata nikibonyeza repair bado inakaa muda masaa hakuna kinachoendelea
 
Inaishia hv
IMG_20190711_180618.jpeg
 
Mimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
 
Possibly laptop yako battery i.ekufa ama wakati inadondoka battery ili detach kutoka kwenye comp. Windows restore maana yake kulikuwa na uzimwaji wa comp ambao haukufuata utaratibu, hivyo kurun windows restore ni lazima vinginevyo mashine haiwezi kuwaka. Hivyo iruhusu ifanye restore inachukua kati ya dk 10 hadi lisaa kutegemeana na speed ya mashine yako
 
Ahsante nimekupata
 
Mimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
Mimi si mtaalamu hapo, ila shida kama hiyo iliwahi nitokea nikaambiwa shida ni drivers, nikamkabidhi mshakaji anayesomea hayo makitu akanirekebishia fasta.
Sasa sijui alifanya fanyaje.
 
Check bettery
 
Alichofanya aliweka CD ya window akaanza kurepear window ,hili tatizo halihusiani na driver
 
Jaribu.
1. Toa betri chomoa adapter, washa kwa dakika moja. Chomeka umeme iwashe tena ikiwaka rudishia betri endelea na matumizi yako.

2. Kama iliiyingisha cmos betri kuna uwezekano imepoteza kalenda, baadhi ya machine huwa haziwaki... ingia kwenye bios setting uangalie hilo kama ndivyo rekwbisha tarehe, mwezi na mwaka. Then save.

3. Boot loader inaweza kuwa imecorupt so kama si mtaalam sana peleka kwa mtaalamu sana akurekebishie au google proceess za kurepair boot loader.

4. Kama uko Dar na haujapata ufumbuzi nitafute live.
Naomba ushauri nifanyeje, laptop yangu(Dell) nikiwa nimeishika naitumia ikakurupuka mkononi na waya wa power ukachomoka ikazima. Wakati naiwasha inaleta option ya ku repair window maana ukiwasha "start window normally" inaishia hapo inaload tu haifungui ndani. Haijadondoka kusema nilikua juu mpaka chini hapana maana ilikua juu ya miguu tu wakati nikiwa nimekaa sakafuni. Nifanyeje?? Maana hata nikibonyeza repair bado inakaa muda masaa hakuna kinachoendelea
 
Wataalam wa IT tume specialize kwenye vitu tofauti kwa mfano mimi na deal na motherboard tu so kama fundi wako alikuambia bodi ibadilishwe kabla hujafika huko mwambie akufunglie mashine akupe bodi,switch yake na adopta tu tuletee kama unamuamini mungu wazungu wanaweza kurudi duniani
Mimi yangu Toshiba iliisha chaji Kama two weeks vizur tu baada ya kuitumia baadae ikagoma kuchaji nikajua ni adapter kuitest kwenye PC zingine inafanya kazi, na nikichukua adapter nyingine pia bado PC haipokei Moto...sijui hata tatzo ni nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom