Pweza Boy
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,385
- 3,140
Naomba ushauri nifanyeje, laptop yangu(Dell) nikiwa nimeishika naitumia ikakurupuka mkononi na waya wa power ukachomoka ikazima. Wakati naiwasha inaleta option ya ku repair window maana ukiwasha "start window normally" inaishia hapo inaload tu haifungui ndani. Haijadondoka kusema nilikua juu mpaka chini hapana maana ilikua juu ya miguu tu wakati nikiwa nimekaa sakafuni. Nifanyeje?? Maana hata nikibonyeza repair bado inakaa muda masaa hakuna kinachoendelea