Msaada: Laptop yangu imepoteza sauti

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
Natanguliza salaam! Naomba msaada wanaJF. Laptop yangu aina ya Dell LATITUDE D630 imepoteza sauti. Inaniambia NO AUDIO DEVICE. Nifanyeje?? tafadhali nisaidieni mwenzenu.

Natanguliza shukrani
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
Natanguliza salaam! Naomba msaada wanaJF. Laptop yangu aina ya Dell LATITUDE D630 imepoteza sauti. Inaniambia NO AUDIO DEVICE. Nifanyeje?? tafadhali nisaidieni mwenzenu.

Natanguliza shukrani

Option ya kwanza fanya re isntallion ya drivers kama alivysema Voice of Reason lakini sina uhakika hiyo link aliyotoa kama ni sahihi Je ana uhakika Audio hardaware za dell latitude ni Realtek

Tembela site ya manufacture wa Dell u download driver kulingana na OS na model ya laptop yako yako.

Ukikosa unachotafuta kwenye site ya manufacuter hapo ndo unaweza kwenda kwa site nyingine

Kama OS unayotumia ni XP link ni hii
Drivers & Downloads

Altenatatively
ili ujue hasa ni driver gani untakiwa kutafuta inabidi ujue hardware ya audio . Kujua aina ya harware ya Audio yako RIght click my computer Chagua Manage then Chagua Device drivers

Kwenye list ya drvers kuna kipengele cha Sound, Video games.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Option ya kwanza fanya re isntallion ya drivers kama alivysema Voice of Reason lakini sina uhakika hiyo link aliyotoa kama ni sahihi Je ana uhakika Audio hardaware za dell latitude ni Realtek

Huwa natumia hiyo realtek its amazing nikipata shida kama hii huwa inaisolve.... nimeshaitumia kwenye dell, compaq and hp .... anyway ajaribu kama ikikataa anaweza akaitoa na kwenda kwenye other option... till today it has never let me down.......
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
0
nenda kwenye control panel na kisha klicksound and audio devices, kuna vitu vya ku-reset vitakuwa vimejiweka mute, ukiweza kuviset kuondoa mute, you are done. maumivu yakizidi muone daktari
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
left click my computer.......properties......hardware........ device manager..... kama sound devices zina question mark its defenetly needs drivers and it not a hardware or mute problem..... Just install Free Realtek AC97 Audio Driver Download and dont forget to come and thank utakapokuwa unaenjoy ma music........
 
Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
Ahsanteni wote. Nitajaribu option moja baada ya nyingine. Nitawapeni feed back
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
left click my computer.......properties......hardware........ device manager..... angalia sound devices je zina question mark???
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Baada ya kusurf online inaonekana hili ni tatizo limewapata wengi wenye hii dell D630 kuna mtu alifanya haya akafanikiwa
Go to the Dell support page and download the latest SigmaTel Audio drivers for Vista. Or use this link to download the driver that was current on November 11, 2007:
ftp://ftp.us.dell.com/audio/R147073.EXE

go into Control Panel, then Programs and Features (the renamed Add/Remove Programs). From there, uninstall any SigmaTel Audio drivers, if they exist.

Install the SigmaTel Audio driver you downloaded above

Reboot. Hopefully it's working now
 
Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
left click my computer.......properties......hardware........ device manager..... angalia sound devices je zina question mark???

hakuna zenye question mark(s), IDT High definition audio CODEC ina exclamation mark mwanzo wa jina lake
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
left click my computer.......properties......hardware........ device manager..... kama sound devices zina question mark its defenetly needs drivers and it not a hardware or mute problem..... Just install Free Realtek AC97 Audio Driver Download and dont forget to come and thank utakapokuwa unaenjoy ma music........

Uko sahihi lakini unachokosea ni kumwambia atumie drivers za Realtek. Inaweza kufanya kazi lakini inaweza kukorofisha baadae

Anochotakiwa kujua kwanza ni Aina ya hardware ya Audio inayotumika kwenye Dell yake Then atafute driver husika. Kuna brand nyingi za Audio ingawa Realtek inaweza kuwa inaongoza.

"Ingawa dereva( Driver) wa lory anaweza kuendesha saloon kwa nn asitafutte dereva wa saloon kama yupo?"
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,754
2,000
if problem still exists,....right click computer from start icon,then manage,device manager,then click kwenye sound,video and games controllers.....icons zote utakazozikuta....right click then update driver software...it flows automatically like calm....dnt 4get to give feedback
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,754
2,000
hakuna zenye question mark(s), IDT High definition audio CODEC ina exclamation mark mwanzo wa jina lake

if problem still exists,....right click computer from start icon,then manage,device manager,then click kwenye sound,video and games controllers.....icons zote utakazozikuta....right click then update driver software...it flows automatically like calm....dnt 4get to give feedback
 
Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
if problem still exists,....right click computer from start icon,then manage,device manager,then click kwenye sound,video and games controllers.....icons zote utakazozikuta....right click then update driver software...it flows automatically like calm....dnt 4get to give feedback

Did not work
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom