Msaada: Laptop yangu haisomi Camera yangu

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,752
196
Habari wakuu, nadhani nitakuwa nimekuja katika sehemu sahihi. Nina camera aina ya fujifilm A800 na laptop aina ya Mac lakini mara ninapoconnect camera haisomi kabisa katika computer.

Tatizo hili lilianza mara nilipoamua kuweka office 2008 katika computer lakini kabla ya hapo kila kitu kilikuwa ni shwari. Lakini vitu vingine kama vya voice recorder vinasoma kama kawaida.

Je tatizo litakuwa ni nini? Naomba msaada tafadhali. Thanks
 
Jamani hakuna wataalamu wa kutoa walau ushauri hapa? Am stuck!
 
Mkuu, pole sana kwa tatizo lako, je umejaribu kuchomeka kwenye computer nyingine? isijekuwa USB yake ni mbovu ndio maana haisomi!

http://www.fujifilm.com/products/digital/download/01/index.html jaribu kudownload hizi Driver nadhani zinaweza kukusaidia.
 
Ndugu, ili jukwaa linatia kichefu chefu siku hizi watu wote wame kimbialia kwenye majukwaa ya Siasa.Tanzania kila mtu anataka kuwa mwanasiasa wanaacha kufanya shughuli za fani zao wanakimbillia siasa ili nao wawe Mafisadi.
 
Mi nina tatizo kama hilo ila tofauti kidogo,ya kwangu kamera siioni kwenye my computer so siwezi kupiga picha ila nikifanya video calls camera inawaka na naweza kuwasiliana na mtu kwa kutukia hiyo kamera so namuona nae ananiona,

nataka msaada kwa nini haionekani kwenye my computer?
 
jaribu kutoa hiyo office 2008 then uone kama inasoma na jaribu kuchomeka usb ingine uone kama inasoma
 
Mkuu, pole sana kwa tatizo lako, je umejaribu kuchomeka kwenye computer nyingine? isijekuwa USB yake ni mbovu ndio maana haisomi!

Nitaanza na zoezi hilo kwanza

http://www.fujifilm.com/products/digital/download/01/index.html jaribu kudownload hizi Driver nadhani zinaweza kukusaidia.

Nashukuru kwa data hizi manake kuna drive nilijaibu kuweka ikagoma.

Ndugu, ili jukwaa linatia kichefu chefu siku hizi watu wote wame kimbialia kwenye majukwaa ya Siasa.Tanzania kila mtu anataka kuwa mwanasiasa wanaacha kufanya shughuli za fani zao wanakimbillia siasa ili nao wawe Mafisadi.

Bwana we we ngojea Jerry Muro arudi tena mahakamani wote wanazamia huko

jaribu kutoa hiyo office 2008 then uone kama inasoma na jaribu kuchomeka usb ingine uone kama inasoma

Kaka nashukuru wacha nijaribu kutoa hii office ingawa ilikuwa inanisaidia hasa kufungua yale mafile ya 'x' kama docx na pptx

Nashukuru kwa ushauri wenu wazee nitawapa feedback which is which
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom