Msaada laptop yangu aina ya hp ina chemka sana hadi kuzima

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Nina laptop aina ya HP INA chemka sana had inazima na ukiiwasha haichukui dakk 20 tu inakuwa ishazima
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,811
2,000
Jaribu pia kubadili thermal paste, uji uji fulani kama dawa ya mswaki unapaka juu ya processor kuifanya iwe ya Baridi. Kkoo Aggrey ni 3000 tu.

Pia ungekuwa unajua exactly ni joto kiasi gani inapata ingekuwa vizuri, hii ingesaidia kujua ni tatizo la joto ama ni tatizo jengine, cpu nyingi zinavumilia hadi 100 centigrade ambalo ni joto kali sana.

Zipo program za kupimia kama hizi
-HWMonitor,
-Core Temp,
-NZXT's CAM.
 
Oooooh thanks sana mkuu ujawahi niangusha acha nijaribu kupima ilo joto pia
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
Pima temp kama alivyosugest hapo juu.
Angalia kama matundu ya hewa yako clean, puliza matundu hata kwa mrija uone kama uchafu/vumbi unatoka, usitumie laptop katika sehemu ambayo inaziba matundu kama kitandani. Zote hizo zikifeli basi feni haifanyi kazi sawa au heatsink imekaa vibaya kwenye CPU pamoja na thermal paste, issue ndogo kwa fundi ila feni inaweza ukabidi uagize aliexpress ya model yako kama imeharibika.
 
Duh inshu ni feni kaka koz hata ukiwasha haitoi mlio wa fan hata ukipuliza...pia joto halilud nnje
 
kingkimbe

Member
Jul 11, 2017
88
125
Nina laptop aina ya HP INA chemka sana had inazima na ukiiwasha haichukui dakk 20 tu inakuwa ishazima
Kwanza kabisa angalia feni kama inafanya kazi kama hipo poa badili thermal paste kwenye processor safisha vizuri mfumo wa upumuaji wa laptop yako % done
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom