Msaada: Laptop lenovo haisomi CD driver au drive E

Mwenzetu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
550
250
Wadau naomba msadaa nina laptop lenovo awali nilikuwa ninaweza ku play cd bila shida.

Juzi kati nimejaribu kuweka cd ila imekataa kusoma cd.

Nimejaribu kila namna haionekani hata kwenye my computer.

Naombeni.msaada

Mwenzetu
 

RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,964
2,000
Nenda device manager.

Je huko pia huioni? Ukiiona device manager click the update driver zake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom