MSAADA LAPTOP AINA YA LENOVO THINKPAD T440P INASHINDWA KUSOMA DVD/CD

Idrisa1510

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
234
500
Kwa mwenye welewa anisaidie sababu ya hili tatizo maana kila niki insert DVD disc inashindwa kisomwa kwenye computer.

Either kuna driver yoyote inanipasa niwe nayo au vipi?. Mwenye welewa anisaidie, asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom