Msaada laptop aina HP 650 imegoma kuwaka

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,589
Kwema Viongozi,

Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini?

Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko.

Nb ni ina 8yrs now hp 650
 
Kama ilizimika ghafla bila uchichiri (vimulimuli ama mchelemchele) kwenye skrini, basi kuna internal micro-cable disconnection. Itakuwa ilipata mtikisiko fulani.
 
Kama ni HP, hilo ni tatizo la kawaida sana. Fanya hivi, toa betri, bonyeza kitufe cha kuwashia sekunde 30 bila kuunganisha chaja yake ya umeme.

Unagasha chaja ya umeme, tena bonyeza kitufe cha kuwashia sekunde 30. Rudisha betri, unganisha chaja, washa (Bonyeza kitufe cha kuwashia).
 
Back
Top Bottom