Msaada kwenye twitter

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
5,958
10,101
Wakuu habari za majukumu nimekuwa nikipata notification kwenye twitter za watu mbalimbali lakini kuanzia Jana nimeshindwa kupata notification yoyote,nilijaribu google nikaambiwa niende kwenye setting ,nikafuata taratibu za kupata notification lakini mpaka leo sijapata lakini baadaye nikauliza labda nime 'mute' sasa wakuu naomba kuelekezwa hapa kwenye kipengele cha mute au unmute maana nimehisi inawezekana ndio sehemu yenye tatizo Asanteni
 
Kama unatumia Android hizi za kisasa tafuta app husiku gusa kwa nguvu Bila kuachilia Kuna menu itatokea Kisha Chagua app info then notification eka on/off

Alternative kufika hapo nenda setting Kisha apps Kisha tafuta app husika then notification eka on/off

Hio ndio njia ya kumute app zisikupe notification.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom