Msaada kwenye tuta?

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
Msaada kwenye tuta.

Jana Lunch time nilikua naongea na dada mmoja mfanya kazi mwenzangu ofisini ambae alinieleza kuwa anashangazwa sana na tabia ya wanaume ya ku-cheat katika relationship.

Alisema kua inashangaza na kuchanganya sana kwa mwanamke anapogundua kua mtu wake aliempenda kwa dhati ana-cheat hasa ikizingatiwa kwamba wanawake wengi huwa very serious na kutumia nguvu na juhudi nyingi sana kuhakikisha uhusiano unadumu. Kibaya ni kwamba pamoja na juhudi hizi zote baadhi ya wanaume (sio wote) huwa hawathamini juhudi hizi na huamua kutoka nje.

Aliniuliza swali ambalo ninalileta hapa ambalo naamini litakua msaada kwa wengi. Ni kitu gani humfanya mwanaume kuwa mwaminifu katika uhusiano/ndoa?
 
ku cheat ni tabia tu ya mtu kama ana tabia hiyo ata cheat tuu hata ufanye nini haisidii...

kwa hiyo kitu kitachomfanya mwanaume awe mwaminifu ktk mahusiano/ndoa ni tabia yake ya uaminifu baaaasi!

mshauri afanye the best kwa upandea wake kuwa mke/mpenzi mwema, lakini kwa mwenye tabia, hiyo haitakuwa guarantee ya kumfanya asi cheat
 
uaminifu,wengine ni hulka kurukaruka na voda fasta,shame on you guys.mke anapika,anafua anakunyooshea,ili uendeze lkn bado tu humthamini!!

mtalaaniwa!!
 
Back
Top Bottom