Msaada kwenye tuta

bunyua

Member
Dec 29, 2018
16
45
Akaunti yangu HESLB inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisa
Screenshot_2019-10-19-23-53-52-824_Browser.jpeg
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,058
2,000
Mkuu batch ya kwanza haupo kuna taarifa hapo wamekwambia uendelee kuwa unaangalia kwa batch zinazokuja.

Hizo batch(awamu) wakati mwingine zinafika hata 5

keep faith.
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,058
2,000
Kuwa na subira awamu ni nyingi we usikate tamaa vigezo vyote vya mnufaikaji si unavifahamu.

Kama umekidhi vyote wala usiwe na hofu ila fahamu unaweza kukosa batch ya kwanza ukapata batch ya pili.

Ukikosa ya pili unaweza pata ya tatu.

Always kuwa na hope, tomorrow is another day!
kwaiyo niwe na uhakika au mana cjajua kwa mtu ambae hapati kabisa akaunti inakuaje ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom