Msaada kwenye tuta

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Kuna mtu yeyote ana fahamu mtu/watu wanaotoka kwenye ukoo/familia ya Kiberiti/Kibiriti?

Inasemekana ni ukoo/familia ya Kipare...
 
Kuna jamaa namfahamu anaitumia majina hayo.....ngoja nitamuuliza....unataka nini? ujue wanatoka wapi au unataka umfahamu kabisa mtu huyo?
 
Poa nitashukuru kama utamtafuta huyo mtu na kunipatia info zake. Otherwise unaweza kumwambia aniandie email kupitia qm@jamiiforums.com.

Kuna some old childhood friend namtafuta kutoka kwenye huo ukoo.
 
Huyu bwana mwenye jina kama hili si daktari maeneo ya shinyanga.
Kama si kosei ni hospital ya mkoa wa shinyanga...pale mjini.
 
... kuna jamaa mmoja anaitwa "Kibiriti" na wengine wanamwita "chibiriti" ni mwenyeji sana wa globu ya jamii kwa mikonozzz (Michuzi), yuko based Italy... waweza jaribu wasiliana na Michuzi akirudi online, just in case..
 
Buswelu - unaweza ukanipatia jina kamili la huyu daktari kama unalifahamu?
 
... kuna jamaa mmoja anaitwa "Kibiriti" na wengine wanamwita "chibiriti" ni mwenyeji sana wa globu ya jamii kwa mikonozzz (Michuzi), yuko based Italy... waweza jaribu wasiliana na Michuzi akirudi online, just in case..

Steve - huyu Chibiriti wa Michuzi nimeshawahi kusoma issue zake. Lakini nafikiri huyu ni Mmakonde. Kibiriti niyaulizia mimi ni kutoka upareni. Kwa hiyo sidhani kama kuna uhusiano
 
Huyu wA shinyanga ni ALEX KIBERITI ni daktari wa macho kolandoto hospital na ana mdogo wake ambae ni mkuu wa chuo hapo hapo kolandoto shy/
Ila wao si wapare baba yao alikuwa msukuma na mama yao mkerewe
 
Back
Top Bottom