Msaada kwenye tuta wakuu wa computer softwares

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
imietokea bahati mbaya kwenye laptop moja nimeifuta program ya MULTIMEDIA-AUDIO CONTROL,naomba msaada wenu wakuu

laptop yenyewe ni ya zamani sana-LATITUDE/D610 DELL

MSAADA WAKUU WANGU
 
wakuu nimejaribu lakini iko very slow!
kuna software moja inatumika kuspeed up downloads naombeni tafadhali
 
Mi naona tu bora ukanunua kompyuta mpya..mpaka we mwenyewe unaiona imezeeka..hiyo ni nzee kweli!
 
WAKUU ZANGU WATAALAMU,
ili kuinstall(setup) kuna kito kinaitwa Microsoft.NET Framework 3.5P1

hapa kwangu hiyo kitu imeencounter problems.msaada wakuu wataalamu
 
kama unatumia wireless internet itakulia pesa mingi, tafuta internet cafe inayoruhusu kuunganisha laptop - kisha ufanye update ya drivers; pia fanya update ya windows. mimi nina laptop ya 2000 inadunda vizuri kwasababu naipa matunzo - updates na fixes.
 
Back
Top Bottom