Msaada kwenye tuta: Tbs mwenye kujua zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta: Tbs mwenye kujua zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Original Pastor, Jan 11, 2011.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu poleni na majukumu ya kujikimu sio kujenga Taifa kwani ukijenga Taifa linaliwa na wajanja hii haijakaa poa.

  Naombe mwenye kujua masuala ya TBS kwani gari yangu haijafanyiwa Inspection toka Japan na sasa Ipo Tanzania imezuiliwa ku accessiwa na TRA wanataka Certificate sasa kwa anayejua gharama ili niweze kupata Certificate gharama ya Halali na ya Kuchakachua.

  Pia naomba mwenye website ya TBS nimejaribu ku google hakuna Pamoja na namba za simu niende hewani moja kwa moja.

  Pia kujua storage inaanzia siku ngapi tokea gari ishushwe na Unaweza kuitoa gar kuipeleka kwenye yard za watu walioko chini ya TRA???

  Gari yangu Toyota Noah 2002 pia mwenye kufika bei nauza. lakini nijue maelezo kwanza ya jinsi ya kuitoa
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu Mpo nasubiri comments zenu nizifanyie kazi
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tanzania Bureau of Standards

   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole sana, kwaharaka grace period ya gari kukaa bandarini free ni siku saba toka ishushwe.
  Hilo la inspection nadhani hawajamaa hawana website wafuate ofisi zao zipo pembeni ya ubungo standi ya mkoa.
  Kampuni iliyokuuzia gari imefanya usanii, jaribu pia kucheck na agent wako kwabushauri.
  Naamini wapo wadau watakusaidia zaidi vuta subira waingie
   
 5. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi nipo Nje ya Nchi nipo Italy na nilinunua hiyo gari sasa wale jamaa walioniuzia Japani Wamesema nisiwe na shaka watalitatua kwani ni Kampuni kubwa sana Japanese used cars. Japan car exporters. japanese used vehicles. Japanese used car exporter. | PROSPER inaitwa Prosper wameniomba sasa watashughuliki nilikuwa naulizia ili nijue wasije wakapigwa na Agent si unajua Bongo na Agent wanamtafuta wao. Msaada wakuu. Hiyo Contact ya meneja nimepiga simu sana hapokei sasa naona namba feki au mwenye namba ya mkononi kwa mfanya kazi yeyote wakuu
   
Loading...