Msaada kwenye tuta-naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta-naomba ushauri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIDUNDULIMA, Mar 3, 2011.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  nataka kununua gari.
  kati ya aina ya magari yafuatayo lipi litanifaa kwa mazingira ya Bongo?

  1. Subaru touring wagon
  2. Subaru forester
  3. Subaru Legacy
  4. Toyota estima Lucida
  5. Toyota townace van
  6. Toyota liteace van
  7. Toyota Ipsum

  Wataalamu wa magari help me please!
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Achana na Subaru kabisa.

  Tafuta toyota yoyote kati ya hizo hapo spea rahisi na zinapatikana hizo subaru mkubwa sikushauri
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kuna sababu yoyote ambayo inafanya magari ya subari yasifae kwa bongo?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Si kwamba hayafai shida ni upatikanaji wa spea zake. Za kiufundi sana sina nasema hivyo sababu kuna rafiki yangu alipata shida sana na subaru mpaka akauza akanunu toyota Ipsum
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Alichosema Dena hapo ni cha kweli na mimi sina cha kuongezea.
  Achana na subaru kabsaa.
   
Loading...