komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Kuna dada nimetokea kumpenda mpaka ikanilazimu nimwambie. Ajabu yeye akadai hana hisia juu yangu, anataka tuwe marafiki tu. Kwa miaka miwili sasa wimbo ni ule ule. Anafurahia sana kampani yangu, hasa napomtoa out tuna enjoy sana...nahitaji iwe zaidi ya urafiki yeye hataki nifanyeje?