Msaada kwenye tuta...Mwenye Katiba mpya ya Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta...Mwenye Katiba mpya ya Zanzibar

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by ludoking, Feb 4, 2011.

 1. ludoking

  ludoking Senior Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwa waliofutailia mdahalo wa Katiba wa mwezi uliopita ulimuweka kitimoto Makamu wa Mwenyekiti wa CC Taifa, Pius Msekwa. Kuna mwandishi wa habari aliongea mengi kuhusu yaliyomo kwenye katiba mpya ya Zanzibar ambayo hayamo kwenye Katiba ya Tanzania. Mfano Katiba ya Zanzibar inamtambua Makamu wa Kwanza wa Rais, Inataja "Shirikisho" na siyo Muungano. KWA HIYO MWENYE HIYO KATIBA MPYA YA ZANZIBAR ILIYOCHAKACHULIWA, AILETE HAPA JAMVINI TUISOSOMOE
   
 2. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2013
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nisaidien wanajamvi,

  Mwenye softcopy ya katiba ya Zanzibar, ile ya mwaka 1984 na ya 2010 anisaidie au atusaidie kutuletea hapa jamvini.
   
 3. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2013
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
 4. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2013
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hii ndiyo raha ya JF. Upende usipende JF utaihitaji tu. Thanks mkuu.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pelekeni mambo yenu ya kiliberali huko..
   
 6. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Nataka hoja yako umepatiwa katiba
   
 7. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2013
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wewe wa ajabu kweli hapa duniani.

  Kwani maandishi, vitabu au documents zote ulizosoma tangu ujue kusoma hoja yako ilikuwa ni nini?
   
 8. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2013
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Nimeisoma kiasi changu. Hivi hakuna english version ya hii katiba ya Zanzibar. Natumaini kuna mmoja anayo atatusaidia.

  Natanguliza shukrani zangu.

  Cc: Suleym
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2013
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280

  Wa-LIBERALI wakigombana we kaa pembeni!
   
 10. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2014
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  ni feki
   
 11. mzenjiboy

  mzenjiboy JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2014
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Toa hoja yako ya kutaka katiba ya ZANZIBAR.

  Ungepewa kwa Kiingereza ungeomba kwa Kiswahili.

  Umepewa kwa Kiswahili unataka kwa Kiingereza.

  Toa hoja zako tuone, na kama unategemea kurekebishwa basi hilo ujue HALIPO. ⚠️
   
 12. M

  Magehema JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2016
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau kama kuna mwenye soft copy ya Katiba ya Zanzibar baada ya mabadiliko ya 2010 tafadhali tusaidiane.

  Natanguliza shukrani.
   
 13. y

  yansiza Senior Member

  #13
  Apr 26, 2016
  Joined: Mar 11, 2016
  Messages: 125
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mimi ninayo ila hard copy
   
Loading...