Msaada kwenye tuta la YouTube | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta la YouTube

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Mar 9, 2009.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Naombeni Msaada.Nataka Video nilizochukua kwenye YouTube na ambazo nimeziweka kwenye 'PlayList' na 'My Favorite' kwenye Account yangu ya YouTube niziweke kwenye File kwenye Computer yangu ili kila ninapotaka kuzisikiliza iwe ni kiasi cha kufungua tu na kusikiliza/kuona badala ya sasa ambapo zinajidownload upya na kutafuna MB zangu! AARRGGH!

  Lingine. Kuna hizi simu za BlackBerry ambazo sasa zinapigiwa upatu sana hasa kwenye mambo ya Internet. Ninayo simu yangu ya Nokia 95 ambayo napata Internet ingawaje sijaweza kuiingiza programme ya iweze kucheza Video. Nafanyaje? na Je ni lipi la ziada nitakalopata kwenye BlackBerry ambalo silipati kwenye N95 yangu?? Naombeni msaada, Unajua tena mambo ya kununua computer Uzeeni!:confused:
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
Loading...