Msaada kwenye Tuta: Kifurushi cha unlimited chenye spidi ya kasi

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,924
736
Salam wanajamvi,
Naombeni msaada wenu juu ya hili.
Nahitaji kujua kama kuna mtandao wowote ambao unatoa "unlimited internet with a FAST speed without limitation after amount of data usage".
Kwa mfano, Vodacom wanayo unlimited bundle ambayo ukijiunga inakuwa na speed nzuri sana ila ukishamaliza 2GB speed ina drop sana hata basic web pages kufunguka inakuwa ni inshu.

Sija experince na Tigo / Airtel / Zantel/ ... kama wanavifurushi vya unlimited internet without boundaries ya speed baada ya kutumia kias flan cha data.

Msaada kwa anayefaham....
 
Ni kweli zantel ndo wenye speed kubwa na unlimited ya ukweli lakini ndo kilo 3 parefu hapo
 
Dreadnought na Iyokopokomayoko !

Hii bei imekaaje ? Mana mlilalamikia sana smile !

Aisee hiyo ni hatari sana, au wanatoa LTE nini?

Mimi huwa natumia voda wajanja night, najiunga GB 1 kwa sh 500, ikiisha nanunua tena na tena mpaka namaliza ninachodownload.

Vipi umewahi jaribu TTCL nasikia kuna unlimited kwa mwezi kwa sh 30000
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaahaaa! asante Mwl.RCT nipo naangalia kombe la dunia live online(nipo mbali na tv) roho nyeupe na sina muda wa kuangalia sijuhi salio wala kifurushi!
 
Last edited by a moderator:
Aisee hiyo ni hatari sana, au wanatoa LTE nini?

Mimi huwa natumia voda wajanja night, najiunga GB 1 kwa sh 500, ikiisha nanunua tena na tena mpaka namaliza ninachodownload.

Vipi umewahi jaribu TTCL nasikia kuna unlimited kwa mwezi kwa sh 30000

TTCL usijaribu utaumizwa I see isitoshe hiyo ya 30,000/= wana limit speed
 
speed ni nzuri lkn GB zako za speed zikiisha imekula kwako unapata Kobe mwanzo mwisho

So far bila kuchakachua bongo hatuna Unlimited Internet in its real meaning...
Yaani tunayo Unlimited Browsing tu ila downloading ni full LIMITS

Kuchakachua mnachakachua vipi mkuu, tupeni mautundu basi hata kwa pesa.
 
Kuchakachua mnachakachua vipi mkuu, tupeni mautundu basi hata kwa pesa.

Kuchakachua kupo kitambo sana,sana sana kama wewe ni Heavy downloader

Hii kitu imekua wazi hapa JF kwa 2013 na speed yake ilikua ya ukweli ila sasa kuna Wanga humu wanapiga Customer care wakaunganishwe na VPN kama PD proxy na TunnelGuru

Inshort hiyo ndo drawback yake ila vinginevyo mambo ni mazuri wakiziba hapa tunapita kule
Na hii kitu hatuifanti public tena ila ni kwa PM tu au kwa SMS kwa wale ambao namba zao zimeifadhiwa na ni wadau wa ukweli na sio wanafiki...hata wewe waweza kua mdau
 
Aisee hiyo ni hatari sana, au wanatoa LTE nini?

Mimi huwa natumia voda wajanja night, najiunga GB 1 kwa sh 500, ikiisha nanunua tena na tena mpaka namaliza ninachodownload.

Vipi umewahi jaribu TTCL nasikia kuna unlimited kwa mwezi kwa sh 30000

hujaoa?
 
Nna modem ya TTCL nilipewa kama zawadi ! Niliitumia kitambo sana ! Mwaka huu hata sija jaribu !

Ila bongo unlimited zote zauongo sana ! Atleast airtel waliniridhisha wiki za nyuma !
Now nimerudi Tigo

Ukiwa mjanja mjanja kama wao hizi bandwidth throttling ni kitu kidogo !
 
Unatumia site gani kuangalia mpira. Tujuze!

subiri kidogo mkuu, naelekea nyumbani nitatupia link hapa. Jamaa wako poa hadi maelezo kabla na baada ya mechi, highlight za matukio muhimu- lugha ni kiingereza na kireno pia wanakupa option ya links kulingana na speed ya net yako, hakuna pop-ups, nk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom