Msaada kwenye tuta, huyu anaqualify Diploma?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,073
103,289
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S
 
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S

kwa hali ya kawaida hawezi kupata kozi ya diploma yoyote kwa vyuo vya serikali, labda aanze cheti (certificate) au aombe St. John University of Tanzania (St.John's University of Tanzania) hawa huwa wanatoa Diploma kwa kutumia cheti cha O-level ili mradi kiwe kina pass 5 (D 5 na kuendelea)
 
ushaona ualimu ndio kimbilio la vilaza...... ili aje kufelisha madogo sio.....
 
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S

me kuhusu chuo cha ualimu sifahamu hila kama anataka vyuo vya udaktar anapata tena anapiga diploa coz me mdogo wangu aliharibu km hvyo alikua pcb ss hv yupo mwaka wa pili mwakani anamaliza,kama anataka hyo afuatilie wizara ya afya.
 
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S

hawezi patadiploma ya education labda jaribu kumpeleka VETA kuna kozi nyingi sana pale za sayansi
 
Its possible, because cut off-point differ from one year to another according to the Majority perfomance. I wish to advise him/her to make close follow up on minimum entry for each college( both governmental and private), if possible you may visit Principal in respective college. .....Binadamu wote ni ndugu zangu...Afrika ni ya Umoja
 
hawezi patadiploma ya education labda jaribu kumpeleka VETA kuna kozi nyingi sana pale za sayansi

anapata diploma in health sciences kama alifaulu physics,chem,biology,maths na english kwa level ya not less than c o level. Tembelea website ya www.muhas.ac.tz utapata maelekezo na fomu. Nina wadogo zangu waliharibu form six ila o level walikuwa vizuri walipata nafasi ya diploma kwa mtindo huo. Usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom