MSAADA KWENYE KESI HII

T

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Messages
486
Points
250
T

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2014
486 250
wakuu habar za muda huu, hapo nyuma niliomba msaada wa kisheria hapa kwenu, nashukuru nilifanikiwa kwa michango yenu, tuliajiriwa kwenye taasisi moja, wakati tunaanza ajira hatukupewa mkataba,tukaambiwa tunaiyandaa kwa maana hiyo taasisi ni mpya,tukafanya kazi miezi minne mshahara katulipa mwezi wa mmoja tu,tulipodai chet akajib majibu ya kukatisha tamaa,so tukaamua kudai haki yetu ya miezi mitatu, tukatafuta haki yetu taasisi mbali mbali lakini ikawa ngumu maana akiulizwa alikuwa anatukana.tukaenda kwa mkuu wa wilaya akaitwa ,pale akakubali anatufahamu na pia tunamdai,tukakubaliana kwa maandishi akaweka saini yake,akaahaidi atalipa baada ya mwezi mmoja,mda umefika naona anaanza dadana tena ,wataalamu wa sheria nisaidieni kwa maa ushahidi pekee nilionao ni maandishi aliyokiri mwenyewe mbele ya katibu tawala wa wilaya na mwanasheria wa halimashauri,wakiwa wamemwakilisha mkuu wa wilaya,hao wote kwenye makubaliano wameweka saini zao.je swali langu kwenu ushahidi huu unatosha Mimi kupata haki yangu nikienda mahakamani au kunambinu nyingine mnaweza kunisaidia?? karibuni
 
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,570
Points
2,000
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,570 2,000
Nenda CMA na documents zote ulizdn nazo, utapata msaada na taratibu. FULL STOP
 
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
782
Points
250
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
782 250
Kama ulivyoshauriwa na mdau hapo juu. Nenda katika Tume ya Usuluhishi na Maamuzi(CMA), wao ndio wanamamlaka kisheria kusikiliza na kutoa maamuzi ya migogoro ya kazi.

Kwa Mkuu wa Wilaya ni vizuri, kwani ni short cut, lakini hawezi kutoa maamuzi (orders) pale ambapo ahadi aliyoitoa hajaitekeleza.

Mwisho wa siku atakushauri pia urudi CMA!
 

Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top