Fanya uoe acha kumchezea binti wa watu, ukute anakuona mzinguaji tu....Nina mpenzi wangu tunaenda vzr kabisa lakini shida ni kwamba simu yake nikimpigia jioni na usiku naambiwa ni hakikishe namba ya mteja ninayopiga hii inatokana na network au ameniblock.
Wenye kujua hili! Ilinijipange mapema nikae upande wangu
Huu ushauri unahusu simu ya mpenzi wake kutokupatikan asubuhu na jioni?Fanya uoe acha kumchezea binti wa watu, ukute anakuona mzinguaji tu....
Ndiyo kwani ukimwoa huyu mpenzi wako utakuwa naye ndani kwani huna haja ya kuhangaika na kutopatikana kwa simu.... Sasa hivi utakuta jioni anahudumia mwengine maana kati yako wewe na yeye hakuna agano linalofunga na kuyaunganisha mahusiano yenu ndugu yangu... nisamehe bure ni maoni yangu tu...Huu ushauri unahusu simu ya mpenzi wake kutokupatikan asubuhu na jioni?
Ndoa sio tiba ya hilo, suala ni upendo wa dhati tu, ndoa si njia ya kumbana mtu asiye mwanifu awe mwanifu, msingi wa ndoa nzuri ni mahusiano mazuri kabla ya ndoa.Ndiyo kwani ukimwoa huyu mpenzi wako utakuwa naye ndani kwani huna haja ya kuhangaika na kutopatikana kwa simu.... Sasa hivi utakuta jioni anahudumia mwengine maana kati yako wewe na yeye hakuna agano linalofunga na kuyaunganisha mahusiano yenu ndugu yangu... nisamehe bure ni maoni yangu tu...
Kazi kweli kweli, Makubaliano ya mdomo tu halafu unataka awe mwaminifu.... kama ni kweli mapenzi ya kweli kwanini hatutaki kufunga nao maagano??? ni kwa sababu sisi wenye hatuna uhakika ndiyo maana wengi wanaamua kufanya diversification ili pakiharibika sehemu moja awe na nyingine ya kushikilia...Ndoa sio tiba ya hilo, suala ni upendo wa dhati tu, ndoa si njia ya kumbana mtu asiye mwanifu awe mwanifu, msingi wa ndoa nzuri ni mahusiano mazuri kabla ya ndoa.
Kama huyu anayelamikiwa yupo hivyo inavyodhaniwa (kwamba huenda ana mpenzi mwingine) jamaa akioa itakuwa ameuza uhuru wake tu rasmi.
Agano halileti mapenzi ya dhati bali mapenzi ya dhati huleta hilo agano la ndoa...
Akilitafuta penzi kwa gharama ya juu, ataambulia maumivu kwa bei nafuu.
Hapo hauna mpenzi mkuu pole sana.