Msaada kwenye itv online (itv online password)

American lady

Member
Jan 9, 2010
71
2
Hey! habari zenu wapenzi wa Jf? nashukuru sana kwa aliyetujulisha kuwa tunaweza kutumia Itv online tuliyopo nje ya nchi, asanteni sn maana mm binafsi sikujua. Sasa ninaomba msaada kidogo mbona nimefuata process zote na kweli nilifanikiwa kuangalia siku 1 tu.sasa hivi nikifungua inataka password. Naomba km kuna mwenye hiyo Password au njia nyingine ya kuweza kunisaidia ili niweze kuendelea kuburudika maanake nili enjoy sana hiyo mara 1.
Asanteni sana na ninatumaini mtanisaidia.
 
Jamaa wameongeza nyingine ya EATV, kama kuna mdau aliyefanikiwa kulipia na ameanza kupata huduma naomba atupe taarifa maana isijekuwa ni kiini macho.
 
Wandugu........hivi bongo yetu kuna redio yeyote iliyo online zaidi ya.......ile ya Wakatoliki?

Vipi Kuhusu Online TV..............ni TV gani iliyopo online?
 
Back
Top Bottom