Eboo
Member
- Aug 22, 2019
- 43
- 55
Habari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu
Nimekuwa nikipata tatizo la kubanwa kwa moyo na kuvuta pumzi kwa shida, hasa kama ikitokea nikiwa nimelala itanibidi niamke nikae kidogo nivute pumzi kwa shida ivyoivyo kidogo napata unafuu kuliko kuendelea kulala
Hali hii inanitokea mara chache sana, kama baada ya miezi kadhaa ndio hii hali inaweza kujitokeza
Umri miaka:23
Jinsia: mwanaume
Sio mnene, mwili wa kawaida, sina magonjwa ya chronic, sivuti sigara wala sinywi pombe au kilevi chochote kile
Asante.... Nawasilisha