MSAADA KWENYE DEKODA ZA (FTA) FREE TO AIR. mpeG 4 na 2

Sambuka

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
317
33
Wakuu hizi dekoda nimeona kuna sehem ya kuweka kadi.
matumizi yake hapo huwa yakoje, naomba ufafanuzi wa kitu hii
 
uelewa wangu chanel za fta hazitumii kadi ndio maana hata mediacom zina sehemu ya kadi lakini ukiifungua ndani unagundua kuwa kadi haiwezi kukaa.kwa hivyo sehemu hiyo inakuwepo kama pambo ili imvutie mnunuaji
 
Mediacom huwa hazichukui kadi licha ya kuwa na tundu la kadi ila zipo zinazochukua kadi hasa za mpge 4.... ila makampuni ndiyo hayaruhusu kadi zake kutumika kwa receiver zingine.
 
Samahani kwa kudandia topic wakuu mi natafuta receiver ya mpeg 4 nitazipata wapi na bei yake kwa anayejua plz?
 
Wakuu hizi dekoda nimeona kuna sehem ya kuweka kadi.
matumizi yake hapo huwa yakoje, naomba ufafanuzi wa kitu hii

Mimi natumia Strong MPEG 2 ina sehemu ya kuweka card. Nilishauriwa na mafundi wa DStv kununua receiver ya Strong pale kariaskoo "MousaTelecomunication" Receiver hiyo ilikuja na "Smartcard ya MyTV.Ambayo pia nilikuwa nailipia poale pale Mousa Telecomunication. Baadae nikabaki kutumia smasrtcard ya DStv pekee. Natumia card ya DSTV napata FTA na DStv. Ili kupata DStv nilishauriwa na wataalamu pale DStv ninunue smartcard ya widebeam. Nina madishi mawili, Dish la 90 cm kwa ajili ya DStv na Dish la futi 8 kwa ajili ya FTA.

Nilinunua kadi hiyo pale paler DStv kwa US $ 100. Waka-i-configure card hiyo kutumika kwenye Receiver. Naitumia hadi leo.Inatumika kwenye receiver hiyo tu.
 
1954tanu ni receiver gani hiyo? Jamaa yangu anyo Strong SRT 4642 ambayo pia ina sehemu ya kuweka kadi lakini kaamua kuiacha na kufugia mende! Kumbe inaweza tumika vizuri kwa DS**?
 
Back
Top Bottom