Msaada kwenye daraja:Imekula kwake!

Charles1990

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
249
46
Habari zenu wakuu.Natumaini wote tumeamka salama,kwa wale wenye matatizo poleni sana ndio mitihani yenyewe hiyo.
Naamini wengi tutakuwa tuliona post iliyokuwa inasema something like 'how i made 3600$ online'.(Nadhani imeshafutwa)wakuu wengi hapa walijaribu kutoa onyo kwamba ni utapeli na watu wakae mbali.wengine wakatoa mfano hata wa e mails kutoka nigeria.
Muda sio mrefu kuna rafiki yangu hapa ameni PM nakuniambia kuwa alijaza hiyo fomu.Baada ya watu kuanza kusema ni uongo ana wasiwasi sana.
Anaomba kujua kama ndio keshapigwa changa la macho a.k.a imekula kwake.Na afanye nini?? Sasa hilo ni dogo,alitumiwa hii e mail kutoka nigeria na akaijibu kisawasawa. :On Sat Nov 13th, 2010
3:24 AM EST MR ISSAKA
OUEDRAOGO wrote: >
>
>FROM: MR. ISSAKA
OUEDRAOGO AUDITS
&ACCOUNTS DEPT AFRICAN
DEVELOPMENT BANK (A.D.B) OUAGADOUGOU-BURKINA
FASO Attn: Please This
Message Might Meet You
In Utmost Surprise.
However, It's Just My
Urgent Need For Foreign Partner That Made Me
To Contact You For This
Transaction. I Got Your
Contact From Burkina
Faso Chambers Of
Commerce While I Was Searching For A Foreign
Partner. I Assured Of
Your Capability And
Reliability To Champion
This Business Opportunity
When I Prayed To God Or Allah About You. I Am A
Banker By Profession
From Burkina Faso In
West Africa And Currently
Holding The Post Of
Manager Of Bill And Exchange At The Foreign
Remittance Department,
African Development Bank
(A.D.B). I Have The
Opportunity Of
Transferring The Left Over Sum Of ($10.5 Million
Dollars) That Belongs To
Late Mr Rudi Hermanto
From Indonesia Who Died
Along With His Entire
Family In The Tsunami Disaster In Indonesia And
India 2004 And Since
Then The Fund Has
> Been In A Suspense
Account. After My
Further Investigation, I Discovered That Mr Rudi
Hermanto Died With His
Next Of Kin And According
To The Laws And
Constitution Guiding This
Banking Institution Stated That After The
Expiration Of (6) Six
Years, If No Body Or
Person Comes For The
Claim As The Next Of Kin,
The Fund Will Be Channel Into National Treasury As
Unclaimed Fund. Because
Of The Static Of This
Transaction I Want You
To Stand As The Next Of
Kin So That Our Bank Will Accord You Their
Recognition And Have The
Fund Transfer To Your
Account. Hence, I Am
Inviting You For A
Business Deal Where This Money Can Be Shared
Between Us In The Ratio
Of 60% For Me And 40%
For You. And Any
Expenses Incidentally
Occurred During The Transfer Will Be Incur By
Both Of Us. The Transfer
Is Risk Free On Both Sides
Hence You Are Going To
Follow My Instruction Till
The Fund Transfer To Your Account. Further
Details Of The Transfer
And Text Of Application
Form
> Will Be Forwarded To
You As Soon As I Receive Your Return Mail And You
Should Contact Me
Immediately As Soon As
You Receive This
Letter. Your Full
Name.......................... .. Your Sex.................................... Your
Age................................. Your
Country.................................
Passport / Driving
License....... Marital
Status...................... Your
Occupation.................... .........
Your Personal Mobile
Number.................... Your
Personal Fax Number......................
Trusting To Hear From
You
Immediately. Regards, Mr.
Issaka Ouedraogo.
Nimeona bora niwape hii taarifa na pia kama kuna anayeweza kumsadia huyu mwenzetu kimawazo amsaidie.
Have a good day!
 
hahitaji kusaidiwa hiyo imekuliwa na ndo dawa ya watu wapenda njia mkato kupata maendeleo kama huyo
 
huyo mwambie ww unafanya kazi ofisi ya interpol na utatuma hivyo vitu kupitia ofisi yako na hivyo aende kuvichukua uone hatakutafuta tena siku nnyingine
 
Back
Top Bottom