Siku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem
yeah, kutakuwa kuna background services kama updates zinazotake place, kama ni kwenye windows 8, Make sure Metered connection iko on, for ur modemSiku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem
kama ni windows XP, try kuchek hizo windows updates, au saa hizo kunaweza kukawa hakuna tatizo lakini ww mwenyewe ukawa umeongeza usage ya internet, which can be very true...Natumia windows Xp