Msaada kwenye Ajira Portal: Nimeandikiwa ‘not selected for aral interview’ wakati nilishafanya oral interview

Usijali, mm nilifanya mwezi wa 6, nikaandikiwa ivo ivo, at the end nimekuja kupata post, mwezi wa 12,
Apo maana yake waliotarajiwa kwa idad husika ya post wamepatkana, wew umebak kwene data base, ikitokea post yoyote inayohusiana na career yako ni moja kwa moja utachaguliwa.
NB: Niliomba Utafiti badae nikapata Ukufunzi
 
Tupe basi experience hyo na sisi tujue Pina from written to Oral
Kwa experience niliyoipata kwenye written maswali yanatoka mengi ya darasani kulingana na kazi ilivyo kwahyo kusoma job description unailink na baadhi ya topics ulizozisoma na pia kuielewa zaidi hyo kazi inahusu nn,kwenye oral nlivyoona hawapo complicate sana lkn pia ni maswali ya darasan in relation na kazi husika na unaweza ambiwa umention points,so unaweza usijibu points kma hukumbuki.Lakini cha muhimu ni kusoma topics husika kulingana na kazi..Honestly mimi kwenye oral kuna maswali sikuweza kujibu points zote nilisahau nyingine
 
Back
Top Bottom