Msaada kwenu wataalamu; Toshiba Satellite C655-S5082 screen imevuja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenu wataalamu; Toshiba Satellite C655-S5082 screen imevuja.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Thinker96, Sep 7, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa wataalamu, me nina tatizo kompyuta yangu ndo hvo na ina model hyo hapo, naomba mnipe jinsi ya kupata screen mpya hapa nchini kwetu na bei pia.
   
 2. M

  MOSHIZZLE Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  TUJUZE FULL INFORMATION ZA COMPUTER YAKO, TUPE SIZE YA SCREEN YAKO KWA UHAKIKA KABISA , KIUFUPI TUPE KILA TAARIFA ZA COMPUTER KAMA VILE INAVYOELEZWA IKIUZWA, KISHA KAMA UNAUWAKIKA NA UHITAJI HUO 280,000TSH CASH NITAKWAMBIA MTU WA KUMPA THEN UTAICHUKUWA KWAKE SIKU 5 TOKEA SIKU YA KUMPA PESA.
  ASANTE. EMAIL YANGU NI honestaugustine@yahoo.com kwa info za screen.
   
 3. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  size hiyo 15.6 inch black colour ya machine nzima
   
Loading...