Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,766
- 107,359
Hello,
Jamani nina swali kidogo wataalam mnaweza nisaidia.Hivi kwa ukiliza wimbo usiku hua unabadirika mlio na speed yake yaani unaenda haraka kama unatumia simu kulizia mziki? Mimi ninapenda kulala nikiwa nasikiliza mziki kwenye simu. Kama hujawahi gundua hilo fanya hivi. Chagua mziki wa taratibu hasa Blues sasa hivi then usikilize pia ikifika usiku usikilize mida ya saa 4 utagundua utofauti.
Kama una nyimbo hizi zisikilize;
My heart will going on...Celine Dion
Hero.....Enrique Iglesias
Power of love. ..Celine dion
Etc..
KARIBUNI JF GTs.