msaada: kwanini baadhi ya files katika computer, jina linaanza na alama hii: ~ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: kwanini baadhi ya files katika computer, jina linaanza na alama hii: ~

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Oct 23, 2012.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huwa nikifungua baadhi ya files katika computer yangu nakuta sehemu ya kwanza ya jina la file imefutika na badala yake jina linaanza na alama ~ halafu ndipo sehemu iliyosalia ya jina inafuata.

  Ninatumia antivirus ambayo iko updated all the time

  Tatizo hili linatokana na nini na ni nini madhara yake na ufumbuzi wake ni nini?

  Thanks
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu, labda ufunguke zaidi. Lakini kwa nilivyokuelewa, kama ni office files, juwa kwamba ni temporary files ambazo hujitokeza pale unapokuwa na opened documents. Ukifunga documents zako, hzo file huondoka pia. Wala sio virusi ama tatizo, zinasaidia recovery iwapo tatizo litatokea, ie stuck, umeme kukata ghafla na comp ikazima. Naamini nimekujibu, otherwise elezea zaidi nature ya files zenyewe. Cheers!
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yes, ni files za office kama word na excell zinazokuwa hivyo. Nikizidelete kuna tatizo gani?
   
 4. Uncle john

  Uncle john Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna madhara ila utakuwa umefuta doc inayotumika kwenye autorecovery. Chunguza ni off files zote ziko hivyo kuanzia off 03/ 07. Create file moja then lifute uone inakuwaje
   
 5. S

  Soki JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Thanks a lot!
   
Loading...