Msaada kwa wenye magari, unaponunua gari ukipitia bandarini wakatwa shilingi ngapi?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Jee ukinunua gari mpya kutoka nje ya nchi pale bandarini kuuingiza nchini TRA wanakata sh ngap?
Mfano nimenunua gari ya kutembelea ndogo ya milioni 5 jee kwa hii gari watanikata shilingi ngapi?
 
Pemba yetu, gharama kulipia bandarini hutofautiana kulingana ukubwa wa gari pamoja na mwaka ambao gari lilitengenezwa
Mfano gari aina ya toyota noah lenye ukubwa wa injini cc 1990 ushuru wake ni mdogo ukilinganisha na gari yenye cc zaidi ya 3000 ushuru wake utakuwa juuu.
Kwa upande wa mwaka wa kutengezwa pia tofauti yake ni;
Miaka 1 hadi 7 ushuru wake ni nafuu sana kuliko miaka 8 ni ushuru kubwa kwani utalazimika kulipia uchakavu.
Japo gari la miaka 2000 hadi 2006 ni nafuu sokoni lakini utaumia kulipia ushuru.
Msada zaidi ingia;
www.tra.go.tz
Chagua calculation
Then vehicle
 
Well done bra
 
Mkuu hapo kwenye miaka ya gari usiingie chaka, gari iliyotengenezwa miaka ya karibuni ushuru wake ni mkubwa balaa, mfano check Toyota mark x ya mwaka 2004 cc 2500 linganisha na Toyota mark x ya 2010 cc 2500 uone mark x ya 2010 ilivo na ushuru mkubwa balaa
 
Mkuu unakosea, usiunganishe na bei ya kununulia,,gari yenyw umri wa miaka 10 ushuru wake ni 80% wakati miaka michache inaweza kuwa 30% ya manunuzi, nina vieleleze sio hadithi mkuu
 
Mkuu fanya kitu kimoja rahisi ingiza hayo magari niliyokwambia hapo juu kwenye calculator ya tra then leta majibu hapa jukwaani, ipi itapigwa kodi kubwa
 
mtu ameomba wastani mnampa maelezo marefuuu..

wastani ni bei utakayonunulia ikiwa cif... andaa kama hiyo hiyo tena kwa ajili ya mambo ya bandari...

hazipishani sana.

kama cif ni milion 5 jiandae kwa milion 5 nyingine ya kodi
 
Naomba kufahamu..kuna jamaa yangu aliniambia kuwa watumishi wa serikali wakiagiza magari nje ya nchi hawatalipa ushuru bandarini maana wao wanalipa kodi ya moja kwa moja ktk mishahara yao je ni kweli?
 
Mkuu hapo kwenye miaka ya gari usiingie chaka, gari iliyotengenezwa miaka ya karibuni ushuru wake ni mkubwa balaa, mfano check Toyota mark x ya mwaka 2004 cc 2500 linganisha na Toyota mark x ya 2010 cc 2500 uone mark x ya 2010 ilivo na ushuru mkubwa balaa
Nadhani umelinganisha vibaya. Magari ya miaka ya karibuni ya unafuu wa kodi kuliko ya zamani. Jumla ya kodi zote kwenye gari lililozidi miaka 10 karibu na asilimia 100% ya thamani ya gari hili wakati gari la miaka chini ya 8 jumla ya kodi zake ni asilimia 50% ya thamani ya gari lenyewe. Hivyo basi ni heri kununua garia chini ya miaka 8 kuliko kununuabla miaka zaidi ya kumi. Kodi ya uchqkavu zaidi ya miaka 10 ni 30%, miaka 8-9 ni 5%, chini ya miaka 8 hakuna kodi ya uchakavu.
Ukitaka mujua koei ya kila gari nenda www.tra.go.tz link a calculator and tools
 
Jee ukinunua gari mpya kutoka nje ya nchi pale bandarini kuuingiza nchini TRA wanakata sh ngap?
Mfano nimenunua gari ya kutembelea ndogo ya milioni 5 jee kwa hii gari watanikata shilingi ngapi?
Kuna ile excel sheet ya TRA, idownload itakusaidia kukadiria... ilaiin short we andaa mara mbili ya CIF.
 
Nadhani umelinganisha vibaya. Magari ya miaka ya karibuni ya unafuu wa kodi kuliko ya zamani. Jumla ya kodi zote kwenye gari lililozidi miaka 10 karibu na asilimia 100% ya thamani ya gari hili wakati gari la miaka chini ya 8 jumla ya kodi zake ni asilimia 50% ya thamani ya gari lenyewe. Hivyo basi ni heri kununua garia chini ya miaka 8 kuliko kununuabla miaka zaidi ya kumi. Kodi ya uchqkavu zaidi ya miaka 10 ni 30%, miaka 8-9 ni 5%, chini ya miaka 8 hakuna kodi ya uchakavu.
Ukitaka mujua koei ya kila gari nenda www.tra.go.tz link a calculator and tools
Mkuu mbona mnakua wabishi, weka kwenye tra calculator mark x ya 2005 cc 2500 linganisha na mark x cc 2500 ya 2010 ,uone unaletewa kodi kiasi gani.
 
Sijawa mbishi. Linganisha % ya jumla ya kodi kwa thamani ya gari, utaona ya mwaka 2005 ni kubwa kuliko ya mwaka 2010. Mwaka 2005 ni $3600 inalipiwa 8.5m/= lakini ya mwaka 2010 ni $6300 lakini inalipiwa 8.8m/=. Maana yake ni kuwa ya mwaka 2010 i a nafuu sana ya kodi.
Wewe umelinganisha kodi peke yake bila kuangalia uhusiano wake na thamani ya gari.
 
Lakini kwenye calculator ya TRA haiangalii bei ya gari, yenyewe inatoa tu jumla ya kodi. Gari linaweza likawa la miaka ya nyuma lakini likaunuliwa kwa bei kubwa (CIF) kuliko gari la miaka ya karibuni
 
Back
Top Bottom