Msaada kwa wenye kujua matumizi ya line zakimataifa

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Wakuu naomba kuwafikishia swali langu kwenu.
Naomba kujua kwa wale wenye uelewa kwenye masuala ya line za kimataifa.

Kwa mfano ukiwa nje ya Tanzania kama unataka kutumia line za Tanzania kwa matumizi ya kawaida, je inagharama ya kiasi gani? Na ni line gani iliyo nzuri kati ya Voda na Airtel?

Nimechoka kutumia vifurushi vya internet nataka kujiunga na dakika.
Nawakilisha.
 
Tumia AIRTEL ndiyo mtandao bora zaidi kwa vifurushi vya kimataifa....
Nifahamishe mkuu inakuaje na bei yake ikoje kwa line na inalipiwa kila baada ya miezi au miaka mingapi.
 
Wakuu naomba kuwafikishia swali langu kwenu.
Naomba kujua kwa wale wenye uelewa kwenye masuala ya line za kimataifa.

Kwa mfano ukiwa nje ya Tanzania kama unataka kutumia line za Tanzania kwa matumizi ya kawaida, je inagharama ya kiasi gani? Na ni line gani iliyo nzuri kati ya Voda na Airtel?

Nimechoka kutumia vifurushi vya internet nataka kujiunga na dakika.
Nawakilisha.

Nifahamishe mkuu inakuaje na bei yake ikoje kwa line na inalipiwa kila baada ya miezi au miaka mingapi.
Google tafadhali....
( Vifurushi vya airtel )
 
nami nataka kujua
 
Back
Top Bottom