Msaada kwa watumiaji wazoefu/wenye ujuzi na Clubhouse

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
"There was an error. Please try again."

Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye kile "kinyumba", yanakuja maelezo hayo hapo juu... Naombeni ushauri juu ya hilo.

Asante.
 
Pole mkuu, mara zote inafanya hivyo! Umejaribu tena?

Samahani ndugu naomba unielekeze hii clubhouse ni nini hasa maana nimekuwa nikiona inaongelewa sana Twitter hasa yule dada Carol Ndosi ila sijui ni kitu gani
 
Back
Top Bottom