TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kwa sinza ipo slow hadi mida ya saa tisa kuelekea alfajiri mkuu
SHIDA SANA ! KWA INTERNET YAO HAO NM T.T.C.L NI WAZI HAWANA NIA NZURI NAHILI NB SHIRIKA WANAOLIENDESHA WANALIJUA SHIRIKA KWANZA BEI ZA VIFURUSHI KUBWA, HALAFU NYUMBU YA MTAMBO NI HOVYO KABISA, HILO SHIRIKA BADO LINAHUJUMIWA TUNANUNUA INTERNET INAEXPIRE BILA KWISHA KISA MTAMBO HAUSHIKI NA UNASOMA 3G !!,JPM MN NENDA KAHOJI MN THAMANI HALISI YA MTAMBO WA INTERNET NA THAMANI YAKE, NA UWEZO WAKE, HAWA WATUMISHI WANATUSUMBUA TUNANUNUA INTERNET HEWA HATUITUMIIIKAISHA
 
Mimi naona huenda kuna hujuma inafanywa na baadhi ya wafanyakazi wa TTCL. Inakuwaje kampuni ya serikali ishindwe na kampuni za watu binafsi.

Huku tabata kimanga (majichumvi), mtandao wa TTCL ni mbovu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo ttcl ndo hii hii nnavyotumia na mm au wwnzangu nyingine mbona siana matatizo kama yenu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
SHIDA SANA ! KWA INTERNET YAO HAO NM T.T.C.L NI WAZI HAWANA NIA NZURI NAHILI NB SHIRIKA WANAOLIENDESHA WANALIJUA SHIRIKA KWANZA BEI ZA VIFURUSHI KUBWA, HALAFU NYUMBU YA MTAMBO NI HOVYO KABISA, HILO SHIRIKA BADO LINAHUJUMIWA TUNANUNUA INTERNET INAEXPIRE BILA KWISHA KISA MTAMBO HAUSHIKI NA UNASOMA 3G !!,JPM MN NENDA KAHOJI MN THAMANI HALISI YA MTAMBO WA INTERNET NA THAMANI YAKE, NA UWEZO WAKE, HAWA WATUMISHI WANATUSUMBUA TUNANUNUA INTERNET HEWA HATUITUMIIIKAISHA
Kwa staili hii nahamia halotel sasa
 
Msaada kwa wanaotumia TTCL simcard na universal modem kwaajili ya internate, naomba mifahamishe setting zake ili kuunganishwa kwenye mtandao

Natumia TTCL simcard na airtelmodem ambayo nimeibadilisha kuwa universal with my lenovo desktop window 8.1 pro
 
TTCL 4G...........mm inamaliza shida zangu zote kuanzia movie mpaka jf.
Japo kuna changamoto za hapa na pale ila kwa maeneo ninayokuwaga mm kwel wako fresh.
 
Back
Top Bottom