Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
384
1,000
Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii

Screenshot_20211113-140933.png
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,748
2,000
Hawa ndiyo member wa jukwaa la IT. Hapa ndiyo kamaliza hivyo kujibu. Hakuna mtu aliyezaliwa anajua.
Hili jukwaa halina tofauti na jukwaa la MMU kwa sasa.
Nimemjibu kama ushauri. Yeye kasema ni mwandishi wa vitabu, mtu akiwa serious hafanyi yote. Kuna watu wao kazi yao ni desktop publishing. Wanajua topography, wanajua kwanini hapa unaweza tumia font hii hapa huwezi. Ushauri niliyompa unalenga kuboresha kazi.
Ndiyo maana kuna programmer na kuna anayedesign UI. Si kwamba programmer hawezi, ila ni kupata kitu kizuri. Unaweza kuwa na kitabu kizuri ila kila anayejaribu kukisoma ana ishia page ya pili.
Shida hata msomaji hajui kwanini anashindea kuendelea. Kumbe ni font tu uliyochagua inachosha.
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,884
2,000
Umeandika kweli Ila kumbuka hakuna aliyezaliwa anajua. Ameomba jina la font ambayo ni sehemu ndogo sana.
Kiufupi. Mm nilikuwa sijui hata masuala ya kuflash simu, modem, router, computer, blogging na youtube.
Nakumbuka nilikuwa naenda kupiga windows kwa mafundi lkn sasa........
Huko kote navuruga. Nimesoma mtandaoni na ukubwa wangu huu. Ningesema niwaachie wenye taaluma zao leo hii mambo mengi ningekuwa sijui. Google is my friend
Nimemjibu kama ushauri. Yeye kasema ni mwandishi wa vitabu, mtu akiwa serious hafanyi yote. Kuna watu wao kazi yao ni desktop publishing. Wanajua topography, wanajua kwanini hapa unaweza tumia font hii hapa huwezi. Ushauri niliyompa unalenga kuboresha kazi.
Ndiyo maana kuna programmer na kuna anayedesign UI. Si kwamba programmer hawezi, ila ni kupata kitu kizuri. Unaweza kuwa na kitabu kizuri ila kila anayejaribu kukisoma ana ishia page ya pili.
Shida hata msomaji hajui kwanini anashindea kuendelea. Kumbe ni font tu uliyochagua inachosha.
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,740
2,000
Inafanana na times new roman ila sio yenyewe. Nafikiri ni font ya kudownload mkuu jaribu kutembelea wrb ya fonts udownload
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom