white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,490
Habari zenu wapendwa kichwa hapo juu kinajieleza
juzi kati wezi walivunja madirisha ya nyumba nikiwa safarini na kufanikiwa kuiba laptop aina ya dell,television aina ya Samsung pamoja na kingamuzi cha dstv
Sasa nilikuwa naomba ushauri wenu kama inawezekana kutrace kitu chochote au kukifungia kisitumike kati ya nilivyovitaja hapo juu
.
Au kama kuna njia ya kujilinda nitakapo nunua vifaa vingine ikitokea vikaibiwa tena au kupotea niweze kuvipata kwa gps
natanguliza shukrani.