Msaada kwa wataalamu wa mitandao.

richard77

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
314
375
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na install upya app napata miziki yangu yote.
 
Weka kwenye google drive yako. Miziki yako, picha na vingine unavyotaka kuhifadhi. Ukinunua simu utasign in tena na kuvipata.
 
Tatizo kwa mitandao yetu hii,utahamisha hizo file kwenda google drive siku tatu...
 
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na install upya app napata miziki yangu yote.
Google drive
 
Fungua account ya telegram. Unga namba yako kisha unda Grup. Tupia hizo nyinbo kwenye Grup. Baada ya Hapo restore simu yako kisha uza.

Ukinunua simu nyingine, pakua Telegram kisha login. Utalikuta like grup lina files zako
Asante sana mkuu. Nina telegram lakini nilikuwa sijui lolote kuhusu hili. Kwahiyo naweza kuhifadhi chochote kwenye group
 
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na install upya app napata miziki yangu yote.
Kutumia Dropbox unaweza tunza takataka zako zote humo, na unaweza kuzitumia popote pale na device yoyote ile yenye mtandao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom