Kwa maelezo mafupi ni msitu ambao upo katika nchi ya Romania, lakina nimeshindwa kupata history kamili kuhusu msitu huu ,hivyo naomb ma-great thinker wa jf wanisaidie au watusaidia tusio faham juu ya msitu huu .nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app