Msaada kwa wanaofahamu nadharia zifutazo za sintaksia

ntikanushwq

Member
Nov 8, 2017
38
10
Habari za weekend wanajamvi. Kama mada inavyojieleza naomba ufafanuzi wa kina juu ya nadharia zifutazo za sintaksia:_

1.Nadharia ya ukuu na umiliki (government & binding theory).

2.Nadharia ya reksika za kikazi(lexical function theory).

3.Nadharia ya uhusiano(relation theory).

NB. Tuwe wastaarabu matusi si mahala pake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom