Msaada Kwa Wanandoa Wasio Watoto, Jaribu "Astra Biology" Kwa Kutumia "Karma" Kupata Watoto

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,180
Wanabodi,

Kuna familia nyingi zina matatizo ya uzazi yaliyopelekea kukosa watoto. Matatizo haya yako ya aina nyingi na yanasabishwa na sababu nyingi, mengine ni maradhi tuu ya kawaida ambayo yanatibika mahosipitalini, mengine ni ya kimaumbile, tiba yake ni ya ki physiologia, mengine ni ya ki genetikali na heredity yaani ya kurithi, tiba zake ni mambo ya stem cell, na mengine ni yale yanayosabishwa na mambo ya karma, hivyo tiba zake ni karmic.Mengi hutibiwa na madaktai bingwa wa gyno, wengine huponea fertility clinics ambazo ni very expensive. Wengi huishia kwa waganga wa kienyeji au kwenye tiba mbadala, na kwa vile wengi wanaoonyeshewa vidole ni wanawake, kiukweli, waganga wa kienyeji wengi tuu wamefaidi sana lakini bila kusaidia chochote!.

Kwa vile sio rahisi kubaini chanzo halisi na kisabishi cha tatizo husika, na mengine huwa ni compound na complex kwa kuunganika, marradhi, anatomica, genetikali na hereditari na karma juu yake, hivyo the best way ni kujaribu tuu tiba mbalimbali.

Moja ya tiba very effective kuwatibu watu wenye matatizo ya uzazi ya astra biology kwa njia karma, inatibu hata yale yaliyoshindikana kabisa hosipitalini. Hii inahusisha familia iliyokosa mtoto, kutumia tiba ya upendo kwa kuadopt mtoto mwingine less fortunate, hivyo kufungua milango ya powers of karma kuwafungulia njia za wao kupata watoto wao.

Hivi ndivyo Ibrahim na mkewe Sarah, walivyofanya kwa kumkubali Isumail nao ndipo wampata wao Isaka.

Hivyo hata ile familia ambayo haina mtoto, wakiamua kukilea kile kitoto kilicho telekezwa na yule mchungaji, wana chances kubwa za kujaaliwa na wao kupata katoto kao.

All the best.

Paskali
 
Paskali, mbona umeanza kuishusha heshima yako kwa kasi ya kutisha hivi?!! Kwa jinsi nilivyokuwa nakuheshimu sikutegemea kuwa kuna siku nitakuja kusoma post/thread zako za ajabu ajabu hasa katika siku za hivi karibuni. Umepatwa na nini ndugu?
 
Acha maneno huyo mchungaji anazaa na uliona alivyosema watoto wangu simameni wawaone woteee wakasimama na kusema ameeen

je uoni huyo ambae hakusimama sio wake??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom