Msaada kwa wale wataalamu wa iphone, napakuaje mp3

IMG_1271.jpg

Mimi natumia hiyo mp3 zote
 
Kuwa specific....nini kinakutatiza katika utumiaji....

nilijua ukiwa umedownload nyimbo zinakuja kwenye simu mojakwamoja kumbe zinakaaa kwenye app husika ukiihitaji ni mpk ufungue tena app apo ndio naona mazoez kwan lile file lao la music lina kazi gani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom