Msaada kwa wale ambao washawahi kununua vitabu(Academic Books) online

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,401
1,287
Habar wanajamvi..

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza...

Naomba msaada kwa wale ambao washawahi kununua vitabu online (kwa maana ya mtandaoni) wanisaidie namna ya kufanya..!maana sijawahi kabisa kufanya hili jambo..

Nimekuwa navutiwa sana na vitabu vinavyouzwa mitandaoni, ingwa nimekuwa nashindwa kujua namna ya kufanya au kuanzia....

Nashukuru sana wanajamvi
 
Back
Top Bottom